Jinsi ya kusoma ujumbe wa WhatsApp wowote uliofutwa


Kuna wakati unatumiwa meseji lakini unapoingia kwenye WhatsApp yako unakuta ujumbe umefutwa. Tumia njia hizi kusoma ujumbe uliofutwa kwenye whatsApp yako

Njia ya 1

Kama unatumia GBWhatsApp, FMwhatsApp au YoWhatsApp ina Anti-delete messages itakusaidia kuona ujumbe wa meseji uliyofutwa kwenye whatsApp yako. Ingia settings kisha weka tiki kwenye Anti-delete messages 


Njia ya 2

Download notisave apk au notification history apk na install kwenye simu. Kisha ifungue na ufuate malekezo ili uwezeshe iwe ina save ujumbe uliofutwa kwenye whatsApp. Ukitaka kusoma ujumbe uliofutwa, unafungua notisave app au notification history app

Njia ya 3

Enable Anti-revoke kwenye whatsApp yako. Itakuwezesha kusoma ujumbe uliofutwa

Post a Comment

0 Comments