Jinsi ya kuzuia meseji za promotion za mtandao wowote kwenye simu yako

Je, unasumbuliwa na meseji za promosheni kwenye simu yako kama Tatu mzuka, BIKO, Instamoja, Betting, TALA, BRANCH na zingine kwenye simu yako? Nimekuletea app ya kukuondolea huu usumbufu kwenye simu yako

-Download Block Text, SMS, Spam Blocker - Key Messages apk na install kwenye simu yako

Jinsi ya kujua jina la mtu anayekupigia simu kwa namba mpya au ambayo hauna kwenye simu yako

Hii ni App itakayokusaidia kujua majina ya watu mbalimbali wataokupigia simu kwa namba ambazo hauna kwenye simu yako

-Download TrueCaller apk na install kwenye simu yako.

Jinsi ya kubadilisha muonekano wa sura yako kuanzia utoto, ujana mpaka uzee 

-Download FaceApp apk na install kwenye simu yako ili uweze kubadilisha sura

Jinsi ya kupata like nyingi Facebook na Instagram

Hii ni App itakusaidia kupata like nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii

-Download Machine Liker apk na install kwenye simu yako ili upate likes za kutosha kwenye account yako ya Facebook au Instagram

Post a Comment

0 Comments