Fuata hatua hizi kurudisha meseji zilizofutika kwenye WhatsApp.
Jinsi ya kurudisha meseji za WhatsApp zilizofutika ndani ya muda wa siku 7
HATUA1. Uninstall
WhatsApp apk kwenye simu yako, kisha download tena
WhatsApp apk na install kwenye simu yako
2. Ifungue App ya WhatsApp, baada ya kujaza detail zako itakuomba u-restore taarifa zako. Restore. Hapo utaweza kurudisha taarifa zilizofutika ndani ya siku 7
Jinsi ya kurudisha meseji za WhatsApp zilizofutika zaidi ya muda wa siku 7
HATUA1. Download
File Manager apk na install kwenye simu yako
2. Uninstall app ya WhatsApp kwenye simu yako
3. Fungua app yako ya File Manager
5. Nenda kwenye faili la /sdcard/WhatsApp
6. Chagua tarehe yeyote ili kufufua meseji za tarehe hiyo. Baada ya hapo badilisha jina la faili hilo kwenda msgstore.db.crypt
7. Download
WhatsApp apk na install kwenye simu yako. Kisha jaza taarifa zako na ikifika hatua ikakuomba u-restore. I-restore. Faili la msgstore.db.crypt ndio litakalorudisha taarifa zote kwenye WhatsApp yako na utaona meseji zote. Hapo utakuwa umefanikiwa kurudisha taarifa zako
0 Comments