>>>Naam mjumbe kama wewe ni mmoja wa wadau unaetafuta riziki zako kwa njia ya kubet basi amini umekuja sehemu salama.
>>>Kutokana na ukosefu wa Ajira vijana wengi wamekua wakijihusisha na betting kama Njia ya kujitengenezea kipato lakini kwa bahati mbaya wengi wanakurupuka tu billa kujua huu mchezo hauitaji mihemko na hasira
>>>Pia betting ni kama kilevi mtu akianza kubet ni sawa na mlevi alieanza kunywa pombe ni vigumu sana kuacha japo wengi wanapoteza pesa zao kupitia mchezo huu lakini mioyoni wanaamini ipo siku watapata maisha mazuri kupitia Betting jambo ambalo linahitaji utulize Akili na utafute njia sahihi ya kukuwezesha kufanikisha ndoto zako
>>>Sasa bila kupoteza mda nkupeleke kwenye mada husika ambayo ni jinsi ya kushinda bet yoyote ya mpira(football) kwa kutumia App hii ambayo huipati kokote kwingine mtandao ni,
>>>Kama unavyoona mdau App hii itakuwezesha kupunguza hasara za kubet na badala yake itakusaidia kutengeneza pesa nzuri kupitia betting
JINSI YA KUTUMIA APP HII
>>>Kwa maelekezo namna ya kuitumia App hii tazama hii video kwa umakini
>>>Ukishaelewa jinsi inavyotumika kinachofata ni kui download kupitia Channel yetu ya Telegram Bonyeza hapa kujiunga
>>>Ukishajiunga pakua iyo APP kisha data za kujaza utazikuta SOFASCORE au FLASHSCORE
>>>Baada ya apo utaweka data zako kama ulivyoona kwenye video hapo juu na kisha utabonyeza calculate
>>>Na hii ndio njia rahisi utakayo weza kutengeneza pesa kupitia betting
>>>Kama unashida yoyote,maoni,swali,Ushauri usisite kuandika kwenye comments hapo chini
>>>Pia subscribe blog yetu na youtube Channel ili uwe wakwanza kupokea habari nzuri zaidi
0 Comments