Naam karibu tena mjumbe.
>>>leo nakuletea mbinu ambayo itakusaidia ku-unfriend marafiki zako wa facebook ili kuokoa mda wa kuanza ku unfriend rafiki mmoja mmoja.Pengine unataka kupunguza marafiki hewa waliopo kwenye orodha au pengine unataka kufuta marafiki na kuianzisha akaunti yako upya basi utakua katika wakati mgumu sana kwakua Facebook hawajaruhusu huduma hii.
>>>Lakini kwa kupitia njia hii rahisi na haraka ntakuelekeza namna ya kufuta marafiki wote kwa wakati mmoja chakufanya ni kusoma kwa makini mbinu hii ndugu yangu mjumbe
>>>MUHIMU
Jambo muhimu la kuzingatia unatakiwa uwe na Browser/App ya GOOGLE CHROME kwenye kifaa chako kama huna Bonyeza hapa kudownload Google chrome.
>>>HATUA ZINAZOFATA.
Baada ya kuinstall google chrome yako sasa
1.Log in kwa account yako ya Gmail
2.Kisha nenda sehemu ya kusearch andika neno "ALL FRIENDS REMOVER FOR FACEBOOK"
>>>kisha bonyeza mahala palipoandikwa "Add to chrome"
>>>Baada ya hapo bonyeza "Add extension"
>>>Baada ya apo utaona Extension hii inaji Intall ikimalizika tu ifungue kisha bonyeza sehemu ilioandikwa "Open friend list"kama unavyoona pichani
>>>Baada ya kufungua utapelekwa sehemu mpya inayokuonesha List yako ya Marafiki wote kama unavyoona hapa chini.
>>>Baada ya hapo ili ufute au uondoe marafiki wote bonyeza palipoandikwa "Unfriend all" kisha itatokea Onyo la kudhibitisha uamuzi wako kama inavyojionesha pichani
>>>Hatua ya mwisho ni kubonyeza "Yes,delete all" kufikia hapo ndugu mjumbe utakua umefanikisha lengo lako kwa urahisi sana.
>>>Ukitaka kurudisha marafiki muhimu itakubidi uanze kuwatumia 'Friend request " mmoja mmoja.
>>>Pia soma maujanja ya kudownload video kutoka mahala popote kwa urahisi
0 Comments