>>>Karibu tena mdau wa teknolojia,Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekua ukipishana na ili Tangazo katika mitandao kama instagram na youtube basi leo Tunakuletea mtandao kama youtube kwamaana unafanana na youtube na unalipa kama youtube wanavyowalipa wamiliki wa channel tazama hapa lakini mtandao huu ni kwa ajili ya bara la Africa tu kwamaana ukitoka nje ya bara la Afrika hutoweza kuutumia mtandao huu.Mtandao huu unaoitwa OGELLE
>>>Kwa kawaida ukitaka kuruhusu channel yako ya youtube kuwekewa matangazo(monetization)kuna masharti na vigezo ambavyo chaneli yako inabidi ivifikie moja ya masharti ayo ni pamoja na kuwa na wafuatiliaji/subscribers 1000 ndani ya masaa 4000 kiuhalisia Masharti na vigezo hivi ni Vigumu sana hasa kwa nchi nyingi za Afrika ambapo watu hawana au hawajui kutengeneza video zenye Ushawishi kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea ivyo kupelekea wamiliki wengi wa Chanel za Youtuba kukata Tamaa
>>>Kwaio kwa mujibu wa watengenezaji/developer wa mtandao huu unaofanana na youtube ni kwamba kuwasaidia waAfrika wengi wenye ndoto za kutengeneza pesa kupitia youtube kutokana na masharti magumu yanayotolewa na youtube ivyo mtandao huu hauna masharti magumu kama ilivyo Youtube
*JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA MTANDAO HUU WA OGELLE(youtube ya Africa)
>.>>Sasa kama ilivyo kwa youtube wanalipa kiasi flani cha pesa $2 kutokana na idadi ya watazamaji/viewers 1000 na kwa nchi nyingi za Afrika Youtube wanalipa kiasi kidogo sana cha pesa jambo ambalo linakatisha ndoto za vijana wengi wa kiAfrika Sasa basi kupitia Ogelle ndio suluhisho pekee la masharti magumu ya Youtube kwa nchi za Africa kwani Ogelle itakulipa $20 kwa kila watazamaji 1000 kiasi ambacho ni kikubwa sanaa zaidi ya mara 7 ya Youtube,raha sio raha??....
>>>Sasa ili nawewe uanze kutengeneza pesa kwa mtandao huu pendwa kabisa wa Ogelle jambo la kwanza kama unatumia kompyuta ingia kwenye browser yako pendwa kisha andika
OGELLE.COM Na kisha ufungue account yako kwa kujaza email na password tu
>>>Baada ya kufungua akaunti yako basi hatua inayofata ni kuUpload au kuweka video yako ulioitengeneza baada ya apo Share/alika watu waje kuitizama video yako ukufikisha watazamaji 1000 tu utaweza kujitengenezea zaidi ya elfu 40 TSH kwaio ni juhudi zako ndizo zitakazokupasulia Njia ya mafanikio yako.
>>>Na huu ndio mtandao ambao kila mwAfrika anabidi ajivunie nao na pia tuupe kipaumbele ili baadae na sisi tujivunie kuwa na mtandao mkubwa kama Youtube na mingine mingi
0 Comments