.>>>Naam kama wewe ni mmoja wa watu mwenye kiu ya kupata pesa mtandaoni na umehangaika kutafuta njia nzuri itakayokuwezesha kutengeneza pesa basi apa umefika mahali sahihi kabisa blog hii imejikita katika njia mbalimbali za kutengeneza pesa Mtandaoni.
>>>Basi moja kwa moja tuelekee katika somo husika kama unavyoona picha hapa chini mimi nimeweza kutengeneza zaidi ya elfu 40 kwa mda mchache tu
>>>kwaivo kitu cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kutazama video hii chini kisha soma maelezo yaliopo chini ya video hiyo ili kufahamu namna gani ya kufanya ili uanze kutengeneza pesa yako bila shida yoyote
>>>Baada ya kudownload App iyo kama ulivyoona muongozo katika video hii basi jisajili baada ya Apo utakuwa unapata maswali ya kiutafiti kama unavyoona kwenye picha hapa chini
>>>Kama unavyoona maswali ni marahisi kabisaa ambayo hayatokufanya wewe ushindwe kuyajibu tazama hapa
>>>Jambo la kuzingatia ni kwamba kadri unavyozidi kujibu ndivyo unavyojiongezea nafasi kubwa zaidi ya kutengeneza pesa zaidi kwa kutumia Application hii
>>>Na hii ndio njia tuliokuandalia kwa siku ya Leo chakufanya fata maelekezo ya kwenye video kisha join Telegram katika Channel yetu ili uwe wa kwqanza kupokea njia nzuri mpya zitakazokuwezesha kutengeneza pesa kwa simu yako hiyohiyo unayoitumia kufatilia Umbea wa wasanii insta,Facebook n.k
0 Comments