Jinsi ya kudownload Games. Download Winrar kwa ajili ya kuextract file zako, Download uTorrent software kisha install kwenye computer yako. Download file la Game kisha extract kwa kutumia winrar kisha double click file lako la utorrent. Na hapo itafunguka uTorrent Software. Kisha bonyeza Ok na file lako la Game litaanza kudownload. kama haujaelewa soma PDF hii Jinsi ya kudownload Games
0 Comments