Jinsi ya Kuweka Matangazo kwenye blogger




Ni Jambo gumu kuereweka lakini pia ni mhimu kurifahamu , kwamaana watu wengi wamekuwa wakipata changamoto juu ya mipangiria ads vizuri.


Unakuta zimejazana pamoja Hadi zinaleta kelo kwa mtumiaji.


Na kosa Hilo limekuwa chanzo Cha kupoteza watembeleaji na kushusha hadhi juu ya Google search.


Hii ni mahususi hasa kwa ambao hawatumiii AdSense japo nawao inawafaaa kwenye upangaji.. kwanza unapaswa uyafahamu yahaya:-👇👇


1 ainaya ya tangazo na umhimu wake.


2 utendaji wa tangazo.


3 uzuri we tangazo.



Tukianza na aina ya ads .

Ziko za aina nyingi hutegemeana na kampuni unayotumia japo Kuna baadhi ya matangazo yanafanana

1.banner(bango)

Hii ni moja ya matangazo ambayo yanapatikana katibia tovuti zote zinazotoa hudu ya matangazo.

Uzuri wa tangazo hiri ni lahisi kutumia na linainekana upesi hivyo ukitumia vyema litakupa faida.

Sehemu za kuriweka

Hii utegemeana na tovuti au blog husika unaweza ukaliweka kwenye kichwa Cha tovuti yako au mahali popote.

Pia kwenye kila makala unayochapisha weka banner 3 yaani mwanzo wa makala katikati ya makala na mwisho wa makala..

Kumbuka mlundikano wa kod za matangazo nyingi zitafanya tovuti/blog yako kuwa nzito yaani inafunguka kwa kuchelewa..

Pia kwenye layout. Chagua sehemu unayotaka kuiweka weka kod zako .. Kama hujui jinsi ya kutumia layout bonyeza hapa👇👇

https://bit.ly/3x4zhbl

2 popup/under

hili ni aina ya tangazo linalopendwa na wachapishaji wengi kwani ina cpm nzuri na wengi huitumia hii kwakuka imekuwa ukifanya vizuri Sana

Sehemu za kuiweka

Unaweza ukaliweka kwenye kichwa Cha tovuti yako au kwenye layout.

Hii ni nzuri kwenye tovuti ambayo inakuwa na link nyingi au makala ambayo inakumuisha link za maudhui mengine hivyo anapobonyeza link ataona na tangazo halafu anafikia sehemu husika

3.Direct link

hii ni aina ya tangazo ambalo linakuwa na link ya moja kwa moja ambyo mtu akibonyeza utampereka kwenye matangazo. Hii nimoja Kati ya matangazo yanayoripa ZAidi hivyo Basi unashauliwa kuitumia vyema ipasavyo. Tazama maelekezo ya kuitumia hapa👇👇

https://bit.ly/3x4zhbl

Yako matangazo ya aina nyingi yanayotoa cpm nzuri tuu na hii hutegemeana na aina ya mtembeleaji uliyempata.

Hili hapa Tena ambalo pengine hujalitumia .lakini ni aina ya tangazo ambalo linafanya vizuri Sana na matunda yake huonekana mala moja pindi tuu unapoanza kuritumia

Push notifications

Hili ni aina ya tangazo ambalo ni zuri Sana kutumia kwani matangazo yake huonekana Kama ujumbe na inakuwa na ushaeidhi wa mtu kubonyeza

Hivyo kwakutumia tangazo hii utavuna mibofyo mingini na kipato utakachopata ni kizuri ukilinganidha na banner za kawaida

Jambo la musho kabisa kufahamu ni kufanya tafiti aina ya matangazo ambayo watembereaji huyapenda na hii unaweza ukaifanya kwa kuangaria aina ya mibofyo.

Kuna MATANGAZO YA aina mbili

1.matangazo yasiyo ya watu wazima.

Hii utapata matangazo masafi ambayo hayana dosali yoyote na yatafaa kwa kila mtu kwani hayana maudhui ya kuchukiza na haki zote zimezingatiwa.

2.maudhui ya watu wazima

Sasa hii ndobalaa haya ni maudhui ambayo yamejumuisha kila aina ya Mambo yakiwemo maudhui ya ngono.

Na matangazo haya hupendaa na watembeleaji wa ulaya na keingineko huko..

Kama tovuti yako ina watembeleaji wa huko mbele ni vyema ukayatumia maana yatakulipa..

Hivyo wakati unatengenezea tangazo lako zingatia kipengele hicho na uchangu kulingana na matakwa yako..

Jambo la musho ni tamplate

Hii nimesha iongelea kwenye makala zirizopita Soma ZAidi hapa👇👇👇

https://bit.ly/3x4zhbl

baada ya kuwa umepitia maelezo hayo Sasa tumia hii

Popads

Hii ni tovuti ambayo yenyewe hutoa kid moja ambyo ndani yake imeunganisha matangazo yote hayo nimetaja hapo juu

Na cod zake hushauliwa uziweke kwenye kichwa Cha tovuti husika ambyo umeweka

Kujisajiri ni lahisi Sana bonyeza hapa popads/users 

Post a Comment

0 Comments