Hizi ni website ambazo zitakuwezesha kupata vitabu mbali mbali kulingana na mahitaji yako. Vipo vitabu vya story, uchumi, politics, comics n.k Hivi vitabu ni bure yaani hakuna malipo yoyote inayohitajika katika kupata hivi vitabu. Hivi vitabu vipo katika mfumo wa Pdf na Epub ili uweze kusoma lazima uwe na
Sumatra PDF Reader au
Adobe Pdf Reader Nakushauri download Sumatra kwa sababu ni bure na pia ukisoma kitabu, ukaishia chapter 2, siku ukihitaji kusoma tena itaanzia hapo hapo ulipoishia kusoma.
Zifuatazo ni website zitakazokuwezesha kupata vitabu mbali mbali bure bila malipo yoyote
PdfdriveHii ni website yenye vitabu vingi sana ambayo itakuwezesha kupata kitabu chochote bila malipo yoyote. Ingia Pdfdrive.com au
pdfdrive na uanze kufurahia ulimwengu wa vitabu
GenlibHii pia ni moja ya website nzuri sana kwa utoaji wa vitabu bure bila ya malipo yoyote. Ina vitabu vingi vya kila aina kuhusu siasa, uchumi, vichekesho n.k Ingia
Genlib uanze kufurahia ulimwengu wa vitabu
B-OkHii ni website itakayokuwezesha kupata vitabu kulingana na mahitaji yako. Vitabu vyote ni bure yaani hakuna malipo yoyote yanayohitajika. Ingia
B-OkEbookBBNi website nzuri kwa mahitaji ya vitabu mbali mbali kama vile siasa, story, vichekesho n.k. Ingia
EbookBB uanze kufurahia ulimwengu wa usomaji wa vitabu
Ebook3000Hii ni website iliyosheheni vitabu vingi vya siasa, uchumi, mapenzi, Psychology n.k. Vyote vyote vipo katika mfumo wa Pdf na epub. Ingia
ebook3000 na uanze kusoma vitabu uvipendavyo
FreeclassicaudiobooksHii ni website iliyojaa vitabu vya audio yaani sauti. Kama ni mpenzi wa vitabu vya audio books basi hii ni website bora kwa ajili yako.
EbookeeHii ni website nzuri ya vitabu. Ina vitabu vingi vilivyo kwenye fomart ya Pdf na epub. Vitabu vyote katika website hii ni bure yaani hakuna malipo yoyote
TelegramNi app bora ya kupata vitabu mbali mbali. Telegram ina channel mbali mbali itakayokuwezesha kupata vitabu vingi na bure yaani bila malipo yoyote.
Ili uweze kupata vitabu inabidi udownload telegram kwenye
simu au
computer yako. Jisajili, hatua ni zile zile kama za whatsApp. Kwenye search bar andika @ebookz kisha bonyeza search button. Utaletewa channel mbali mbali za vitabu. Utajiunga na utaanza kudownload. Ni bure yaani hakuna malipo yoyote
0 Comments