JINSI YA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI HIZI HAPA WEBSITES 5 ZINAZOLIPA VIZURI DUNIANI

As salaam aleikum wapendwa wasomaji wa blog hii kama kawaida yetu kupeana mawili matatu katika yale tunayoyajua leo tuzungumzie pesa huku mitandaoni tusiwe tunakaa bure tu wakati fursa zipo nyingi, leo nimekuwekea websites 5 ambazo zinalipa vizuri zaidi duniani


1. ADDYOU.ME

Mtandao wa kwanza ni Addyou.me huu unatumia kubadilisha link ndfu kuwa fupi na utakapoisambaza link hiyo unalipwa kwa mfano hii ni link yangu ya youtube https://www.youtube.com/channel/UCs6J6Uht5Zlx1Fhy8Glmwqw ni ndefu ivo naicopy na kwenda kuipaste katika mtandao wa addyou kisha naishirnk itabadilika na kuwa hivi http://www.adyou.me/TgTG ukiibonyeza link hii itakupeleka katika youtube yangu lakini mimi nitalipwa, bonyeza hapa kujiunga na addyou.me/#join mtandao huu unalipa kuanzia click 1000


2. SHORTEN





mwingine ni huu shorten huu pia ni kama addme na wenyewe unapeste link ndefu kisha unabonyeza shorten link inakuwa fupi kisha unaisambaza hawa jamaa wanalipa kuanzia USD 4 mpaka 7 kwa kila click 1000 kujiunga nao bonyeza hapa https://shorte.st/ref/48204e48d2

3. LINKSHRINK

website nyingine ni hii linkshrink huu upo vizuri pia unakupa fursa ya kujipatia 20% kwa mtu atakejiunga kupitia link yako nawenyewe wanalipa kuanzia dola 5,pia wanalipa kila baada ya siku 4 kama pesa yako imefika dola 5, kama unahitaji kujiunga bonyeza hapa https://linkshrink.net/

4. LINKBUCKS

Linkbucks pia ni mtandao bomba kwa uchumi wako na muda wako unaotumia kukaa katika mitandao ya kijamii na forums , fungua akaunti fanya chaguo kisha weka link kisha zishort kama mtandao unavyohitaji sambaza link hizo na uanze kupiga pesa, hawa jamaa wanalipa kuanzia dola 3 mpaka 10 ila kiwango kidogo cha kutoa pesa yako ni dola 10 kama unahitaji kujiunga nao bonyeza hapa https://www.linkbucks.com/

5. ADF.LY

Mbali na mitandao hiyo yote juu huu ndio unaotumika zaidi duniani pia nirahisi zaidi na wanalipa vizuri, na wenyewe pia wanalipa kuanzia dola 4 mpaka 10 kwa views 1000 ukitengeneza link kupitia mtandao huu unaweza kupiga pesa ya kutosha kwa siku ila kama ukifanya kampeni kama ya mwezi inakuwa poa sana kama unahitaji kujiunga nao bonyeza hapa https://adf.ly/

kama kuna eneo hujaelewa niachie maoni yako nami nitakujibu, usisahau kuisambaza kama ilivyo kwa marafiki pia jiunge nami katika mitandao yangu ya kijamii ili tuwe karibu zaidi @king media Technology Online

Post a Comment

0 Comments